Skip to main content
Skip to main content

NACADA yanasa katoni zaidi ya 300 za pombe haramu kaunti ya Nandi

  • | Citizen TV
    922 views
    Duration: 1:07
    Mamlaka ya Kudhibiti pombe na Dawa za Kulevya (NACADA), kwa ushirikiano na vyombo vya usalama imenasa zaidi ya katoni 300 za pombe haramu katika mji wa Kapsabet na viunga vyake Kaunti ya Nandi.