22 Sep 2026 10:32 am | Citizen TV 10,361 views Duration: 1:09 Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi, Eliud Lagat, amesema kuwa maafisa wa usalama wamepiga hatua kubwa kukabiliana na magenge ya wahuni , katika sehemu mbalimbali nchini.