23 Sep 2026 1:22 pm | Citizen TV 1,670 views Duration: 1:24 Naibu Rais Profesa Kithure Kindiki amewashambulia viongozi wa upinzani kwa ukosoaji wanaoufanya dhidi ya serikali ya Kenya Kwanza, akiwatuhumu kwamba wao wana nia ya kuzuia miradi ya maendeleo ya taifa.