13 Oct 2026 1:31 pm | Citizen TV 796 views Duration: 1:14 Naibu wa rais kithure kindiki ameitaka idara ya magereza na urekebishaji kutumia teknolojia ya kisasa kuwasaidia wafungwa kubadili mienendo na kuwa wadau husika katika ujenzi wa taifa.