Skip to main content
Skip to main content

Natembeya adai kuna ubaguzi katika utoaji wa vitambulisho vya kitaifa nchini

  • | NTV Video
    526 views
    Duration: 1:15
    Gavana Natembeya ameibua wasiwasi kuhusu kile alichokitaja kuwa ubaguzi katika utoaji wa vitambulisho vya kitaifa nchini akidai kuwa baadhi ya maeneo yanapendelewa huku mengine yakiachwa nyuma katika mchakato huo. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya