28 Jul 2026 1:05 pm | Citizen TV 701 views Duration: 1:56 Tume ya Uwiano na Utangamano wa Kitaifa (NCIC) imesema inaendelea kuchunguza matamshi ya chuki yanayodaiwa kutolewa na baadhi ya viongozi wa kisiasa nchini.