25 May 2026 1:29 pm | Citizen TV 314 views Duration: 1:20 Shirika la Kitaifa la Kupambana na Ugaidi nchini National Counter Terrorism Centre (NCTC) limesema linaendelea kushirikiana na viongozi wa kijamii mashinani katika juhudi za kupunguza visa vya ugaidi nchini.