- 16,412 viewsDuration: 30sBaadhi ya ndege zimeanza tena safari katika uwanja wa ndege wa Dubai baada ya kufungwa kwa muda kutokana na kuonekana kwa moshi na moto vinavyohusishwa matukio ya 'ndege zisizo na rubani'. #bbcswahili #dubai Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw