Familia moja katika eneo la Ndhiwa, Homa Bay imepatwa na uchungu na hali ya taharuki baada ya mwili ya mwana wao Job Otieno aliyeugua na kufariki kusemekana kuchukuliwa na familia nyingine na hata kuzikwa bila ufahamu wa familia yake halali.
and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya