Skip to main content
Skip to main content

Ndindi Nyoro aanza ziara za kisiasa Kiharu baada ya kuondoka UDA

  • | Citizen TV
    2,411 views
    Duration: 1:16
    Mbunge wa Kiharu na kiongozi wa People’s Party of Kenya (PPK), Ndindi Nyoro, amefanya ziara yake ya kwanza ya kisiasa katika eneo bunge la Kiharu, Kaunti ya Murang’a, siku mbili baada ya kuondoka rasmi katika chama cha UDA.