- 2,110 viewsDuration: 2:34Siku mbili baada ya kutangaza mwelekeo mpya wa kisiasa na kuzindua Chama cha People’s Party of Kenya, Mbunge wa Kiharu Ndindi Nyoro amerejea katika ngome yake ya kisiasa huko Murang’a kutafuta baraka za nyumbani kabla ya kuanza ziara ya kitaifa ya kutafuta uungwaji mkono. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya