- 6,709 viewsDuration: 1:29Kinara wa chama cha People's Party Ndindi Nyoro anasema kuwa tayari chama chake kimeanza kupata wafuasi na umaarufu akisisitiza kuwa chama chake sio kibaraka wa serikali. Akipokea wajumbe 30 kutoka vyama mbali mbali katika makao makuu ya chama hicho jijini Nairobi, Mbunge huyu wa Kiharu ameendelea kuikosoa serikali ya rais William Ruto na idara ya polisi kwa visa vya wahuni vinashuhudiwa nchini, akiunga mkono wito kwa upinzani kuitaka mahakama ya ICC kumchukulia hatua rais William Ruto.