Skip to main content
Skip to main content

Ndovu 14 wamekufa katika wiki mbili Kimana katika mbuga ya Amboseli.

  • | Citizen TV
    752 views
    Duration: 3:26
    Ndovu zaidi ya kumi wakufa katika hifadhi ya wanyamapori ya Kimana iliyoko katika mbuga ya Amboseli. Tembo hao wafariki kutokana kemikali zenye sumu zikisiwazo kutoka kwenye mashamba ya wakulima eneo hilo . Shirika la huduma kwa wanyamapori -KWS - sasa latoa tahadhari kwa hifadhi zilizoko karibu na Kimana na kuwataka wasimamizi kuwa waangalifu.