28 Jul 2026 10:50 am | Citizen TV 1,737 views Duration: 1:58 Ngariba kutoka eneo la Malaha, wadi ya Matulo, Kaunti ya Bungoma, wafanya tambiko la kitamaduni la kutakasa visu vya tohara ya vijana wa jamii ya Waluhya, ikiwa ni maandalizi ya msimu rasmi wa tohara unaotarajiwa kuanza.