- 2,031 viewsDuration: 3:18Imekuwa mbwembwe na furaha huku wanafunzi waliofanya vyema kwenye mtihani wa kitaifa wa KCSE wa mwaka jana wakisherehekea ushindi wao. Shamra shamra zilisheheni katika shule kadhaa huku wazazi wakifurahia matokeo bora ya wanafunzi.