- 4,185 viewsDuration: 3:08Aliyekuwa Waziri wa Fedha Profesa Njuguna Ndung'u amemshutumu Rais William Ruto kwa madai ya kutumia taasisi za serikali visivyo na kuwalazimisha wafanyakazi wa serikali kufuata anachokitaka kwa uoga, na hivyo kudhoofisha uhuru wa taasisi hizo. Ndung'u alikuwa akizungumza alipokuwa akijibu swali la kukabiliana na ufisadi nchini Sweden. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya