Skip to main content
Skip to main content

Noah Ng'etich, dalali wa ng'ombe, aaga dunia baada ya mzozo na mwenzake kutokana na deni la Sh 1,000

  • | NTV Video
    516 views
    Duration: 2:02
    Dalali wa ng'ombe kwa jina Noah Ng'etich ameaga dunia. Hii ni baada ya mzozo kati yake na mwenza wake aliyekuwa na deni lake la takriban shilingi elfu moja pesa taslim zikidaiwa zilikuwa ni asilimia ya faida ya mauzo kutoka kwa biashara ya ng'ombe. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya