27 Jul 2026 1:09 pm | Citizen TV 8,172 views Duration: 1:05 Mamlaka ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani (NTSA) kwa kushirikiana na huduma ya kitaifa ya polisi imewakamata watu zaidi ya thelathini wanaotembea kwa miguu katika maeneo ya mutindwa na buruburu.