- 4,299 viewsDuration: 2:53Msimamizi wa Bajeti Margaret Nyakango amefichua kwamba hafahamu jinsi hazina zote na ushuru unaotozwa Wakenya, kama vile ushuru wa nyumba za serikali na bima ya afya, unaokusanywa na serikali unavyotumika. Ufichuzi huo umeibua wasiwasi kuhusu namna pesa za umma zinavyotumika, na iwapo fedha hizo zinaelekezwa katika benki za kibinafsi kwa manufaa ya watu wachache. Melita Oletenges ana taarifa zaidi.