Skip to main content
Skip to main content

Nyakango aonya deni la taifa la Sh12.8 trilioni lafikia viwango vya hatari

  • | Citizen TV
    3,868 views
    Duration: 2:29
    Msimamizi wa Bajeti Margaret Nyakang'o sasa anaonya kuwa deni la kitaifa linazidi kuongezeka kufikia viwango vya hatari. Akizungumza bungeni leo, amesema kuwa deni hilo limefikia shilingi trilioni 12.8, hali ambayo sasa inayumbisha bajeti. Stephen Letoo na taarifa hiyo kwa kina.