Skip to main content
Skip to main content

Nyamira: Morris Morwani afuga bata mzinga ili kujimudu kimaisha

  • | NTV Video
    2,269 views
    Duration: 2:39
    Ukosefu wa ajira za ofisini unazidi kuongezeka kila kuchao. Kadiri ajira hizo zinavyozidi kuwa chache, vijana wengi hasa maeneo ya vijijini wameamua kujigeuza wajasiriamali wa kilimo. Morris Morwani wa miaka 27 kutoka kijiji cha Kiendege, eneo bunge la Kitutu Masaba, Kaunti ya Nyamira ambaye ameamua kufuga bata mzinga ili kujimudu kimaisha. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya