Skip to main content
Skip to main content

Nyamira: wakazi walalamikia kuanza kwa ujenzi wa SGR kabla ya kulipwa fidia ya mashamba yao

  • | NTV Video
    860 views
    Duration: 3:46
    Wingu la siutafahamu limetanda katika Wadi ya Bokeira, Kaunti ya Nyamira, huku wakazi wa vijiji vya Nyakaranga, Kiamatonga, Enkarango na Riagwaro wakilalamikia kuanza kwa shughuli za ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kabla ya kulipwa fidia ya mashamba yao. Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya