Skip to main content
Skip to main content

Nyamira yazindua mpango wa lishe ya vyakula vya kiasili shuleni

  • | Citizen TV
    223 views
    Duration: 2:11
    Wizara ya elimu, serikali ya kaunti ya Nyamira kwa ushirikiano na National Museums of Kenya wazindua rasmi mpango wa lishe ya vyakula vya kiasili shuleni kama njia ya kukuza lishe bora kwa wanafunzi wa shule za upili nchini.