- 1,303 viewsDuration: 1:35Nyumba zaidi ya saba za kupanga zateketea katika mtaa wa Kimogoro wadi ya Sogoo Narok kusini baada ya hasira za kimapenzi.Kulingana walioshuhudia mwanamme aliyekuwa na hasira aliamua kulipiza kisasi baadaya kukosana na mpeziwe wa kike kwa kuchoma chumba chao kufuatia misururu ya kukosana na kusameheana.