- 37,835 viewsDuration: 6:27Jina la hayati raila amollo odinga na muziki kwa sentensi moja sio makosa. Hivi ndivyo marehemu raila odinga alivyopenda muziki, alivyosakata densi na kuwaenzi wanamuziki. Alitumia muziki kuwatumbuiza wafuasi wakati wa kampeni zake nao wanamuziki walikesha studioni kutunga nyimbo za kumuenzi kila msimu wa kampeni. #CitizenTV #citizendigital