17 Sep 2026 1:57 pm | Citizen TV 8,041 views Duration: 2:36 Chama cha ODM kaunti ya Mombasa pamoja na baadhi wawakilishi wadi wamekashifu matamshi ya Katibu wa chama cha UDA Hassan Omar wakisema yanalenga kuvuruga umoja na maelewano kati yao.