Skip to main content
Skip to main content

ODM yaandaa mazungumzo ya ushirikiano na UDA

  • | Citizen TV
    1,711 views
    Duration: 2:58
    Kinara wa ODM Oburu Oginga sasa anasema chama hicho kinajiandaa kubuni kikosi cha viongozi wake watakaohusishwa katika mazungumzo na chama cha UDA kuimarisha ushirikiano wake. Oburu ambaye aliongozi kikosi cha ODM kaunti ya Siaya akitumia fursa hiyo kupuuzilia mbali waliotafsiri matamshi yake ya hivi majuzi kuhusu 'serikali ya Udikteta'.