Skip to main content
Skip to main content

Ogamba azungumzia matukio ya shule yanayoitikisa sekta ya elimu

  • | Citizen TV
    862 views
    Duration: 14:20
    Julius Ogamba anazungumza na wanahabari kuhusu matukio ya utovu wa nidhamu na visa vya moto vinavyoathiri sekta ya elimu nchini. Kauli yake inajiri kufuatia mkasa wa moto katika Shule ya Wasichana ya Utumishi, Gilgil, uliosababisha vifo vya wanafunzi 16, huku shule nyingine kadhaa zikifungwa kutokana na migomo na vurugu za wanafunzi