Skip to main content
Skip to main content

Ogeta afichua mbinu za kisiasa na maisha ya usiri ya Raila Odinga

  • | Citizen TV
    22,004 views
    Duration: 3:15
    Marehemu Raila Odinga alikuwa mtu mwenye uzoefu na hekima kubwa za siasa na alisalia na vitendawili vingi kuhusu maamuzi yake ya siasa. Kwenye sehemu ya mwisho ya mahojiano ya moja kwa moja na aliyekuwa mlinzi wake, Maurice Ogeta, anaelezea kwa kina mbinu za uongozi wa kisiasa alizotumia Raila, maisha yake ya usiri ambayo wengi hawakuyafahamu. Alizungumza na Seth Olale.