- 243 viewsDuration: 2:14Wazazi katika Kaunti ya Trans Nzoia wameonywa vikali dhidi ya kuwanyima watoto wao haki ya kupata elimu kwa kukosa kuwapeleka shuleni huku maafisa wa serikali wakisema kuwa elimu ni haki ya kimsingi kwa kila mtoto, na yeyote atakayepuuza wajibu huo atachukuliwa hatua za kisheria.