- 5,207 viewsDuration: 22sTazama namna Papa Leo XIV alivyozungusha mpira wa kikapu kwa kidole chake katika Uwanja wa Mtakatifu Petro. Wachezaji kutoka timu ya mpira wa kikapu wa Marekani, Harlem Globetrotters, walimsaidia Papa huyo kujifunza ujuzi huo mpya mbele ya umati wa watu waliokuwa wakishangilia. #bbcswahili #PapaLeo #mpirawakikapu Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw