19 Oct 2026 10:21 am | Citizen TV 2,171 views Duration: 1:12 Polisi kaunti ya nyamira wameanzisha uchunguzi wa mauaji ya mwanaume na mkewe, waliofumaniwa na kukatwa kwa mapanga katika kijiji cha enchoro jumamosi jioni