15 Oct 2026 10:38 am | Citizen TV 2,992 views Duration: 1:38 Kamanda wa polisi wa Lamu Central William Ngolo, ameeleza wasiwasi kuhusu kurejea kwa makundi ya vijana wanaojihami kwa panga kisiwani Lamu.