27 Aug 2026 1:17 pm | Citizen TV 680 views Duration: 1:14 Polisi katika Kaunti ya Nandi wameharibu zaidi ya lita elfu tano za pombe haramu katika msako uliofanyika katika bonde la Kipsigak-Baibai, katika kijiji cha Kapkerer, eneo linalopakana na Kaunti za Nandi, Kisumu na Vihiga.