19 Aug 2026 1:21 pm | Citizen TV 1,317 views Duration: 1:26 Mratibu wa usalama eneo la mashariki Jacob Ouma amesema serikali itahakikisha kwamba polisi wa akiba watatumwa kwa wingi kwenye mpaka wa Kitui na tanariver ili kudumisha usalama.