Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza kutoweka kwa mwanamke Cherangany

  • | Citizen TV
    8,487 views
    Duration: 2:23
    Polisi eneo la Cherangany kaunti ya Trans Nzoia wanachunguza kisa cha kutoweka kwa mwanamke pamoja na bunduki la mfanyabiashara ambaye ni mumewe mwanamke huyo. Lily Cherono Kimtai mwenye umri wa miaka 53 alitoweka kwa mazingira tata nyumbani siku 12 zilizopita. Mumewe Michael Kimtai ambaye ni afisa wa polisi wa zamani akidai kuwa huenda maisha ya mkewe yako hatarini, kama Collins Shitiabayi anavyotuarifu