Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza mauaji ya daktari aliyepigwa risasi ndani ya teksi jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    4,355 views
    Duration: 3:08
    Maafisa wa polisi jijini Nairobi waanzisha uchunguzi kuhusu kupigwa risasi na kuuawa kwa daktari victoria Nthunya Mutiso aliyekuwa mkurugenzi katika shirika la utafiti la afya ya akili na ubongo.