- 10,976 viewsDuration: 3:28Polisi eneo la Kabete wanachunguza tukio ambapo mwanaume mwenye umri wa miaka 25 aliuawa kikatili na umati kabla ya mwili wake kuteketezwa.Inaripotiwa kuwa Wesley Matekwa, alikuwa akielekea nyumbani baada ya kutazama mechi katika eneo la Congo, mtaani Kawangware kabla ya tukio hilo. Kulingana na taarifa, Matekwa alikabiliwa na wanawake wawili waliodaiwa kumpokonya simu yake ya mkononi, ambao walimgeuzia na kupiga mayowe wakisema alikuwa akiwaibia