Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza mauaji ya mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Cooperative

  • | Citizen TV
    14,132 views
    Duration: 2:47
    Maafisa wa upelelezi kutoka kituo cha polisi cha Athi River wanachunguza kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Cooperative aliyeuawa na mwili wake kupatikana kwenye shimo la maji taka. Maswali sasa yakiibuka kuhusu namna Ivy Anyango, aliyekuwa na miaka 22, alivyohama kutoka Rongai, alikoishi karibu na shule, hadi Athi River. Ode Francis anaarifu.