Skip to main content
Skip to main content

Polisi wachunguza video ya dereva wa gari la kibinafsi akisukuma gari dogo la teksi

  • | Citizen TV
    38,211 views
    Duration: 3:38
    Polisi jijini Nairobi wameanza uchunguzi kuhusu tukio ambalo dereva wa gari kubwa la kibinafsi alinaswa kwenye video akisukuma gari dogo la teksi katika eneo la Lavington. Video hiyo iliyosambaa mitandaoni imezua hisia kali kutoka kwa wananchi, huku polisi wakisema uchunguzi unaendelea kubaini mazingira ya tukio na hatua stahiki zitakazochukuliwa.