- 5,968 viewsDuration: 4:27Malalamiko yameibuka kuhusu operesheni ya usalama katika eneo la Losesia, Samburu, ambapo viongozi wanadai mamia ya mifugo waliuawa. Seneta wa Samburu Lelegwe Ltumbesi ameitaka serikali kuchunguza operesheni hiyo na kubaini waliohusika.