- 2,780 viewsDuration: 2:37Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu miili ya watu iliyopatikana imezikwa eneo la Mwingi mjini, kaunti ya Kitui. Miili hiyo ya watu wasiojulikana ilipatikana huku kukiwa na hofu kuwa huenda watu wengine wamezikwa sehemu hiyo baada ya kuuawa. Tayari polisi wamefukua miili minne kutoka eneo hilo.