- 1,992 viewsDuration: 3:04Haya yakijiri, Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi Eliud Lagat, amewahakikishia wakazi wa Ol Kalou usalama wa kutosha, siku sita kabla ya uchaguzi mdogo kuandaliwa eneobunge hilo. Lagat aliyezungumza kaunti ya Nyeri amewaonya wanasiasa wanaotumia wahuni kuvuruga usalama, huku kampeni za uchaguzi huu wa alhamisi ijayo zikipamba moto.