- 24,531 viewsDuration: 3:23Polisi katika eneo la kilimani wanachunguza kifo tata cha kijana wa miaka 25 aliyefariki baada ya kurushwa kutoka ghorofa ya juu ya chumba cha malazi wikendi iliyopita. Kijana huyo aliyetambuliwa kama Festus Lee Oromo, anasemekana kuwa na wenzake akiwemo mpenziwe aliyepatana naye kwenye mtandao wa mapenzi kabla ya kifo chake.