Skip to main content
Skip to main content

Polisi wasaka wahalifu wanaohangaisha wakazi Transmara Kusini

  • | Citizen TV
    529 views
    Duration: 2:06
    Maafisa wa polisi kule Transmara Kusini wanaendelea na msako wa majambazi ambao waliwauwa wafanyabiashara wawili katika soko la Loliondo usiku wa kuamkia Alhamisi kabla ya kutoweka bila kuiba chochote.