24 Sep 2026 10:35 am | Citizen TV 715 views Duration: 1:26 Polisi katika Kaunti ya Murang’a wamekamata pombe ghushi wakati wa msako wa kukomesha biashara ya pombe haramu katika eneo la Maragua.