Skip to main content
Skip to main content

Pombe haramu yadaiwa kuongeza dhuluma za kijamii Nyeri.

  • | Citizen TV
    322 views
    Duration: 2:11
    Kadri visa vya dhuluma za kijinsia, kujitoa uhai na utumizi wa pombe haramu vyaendelea kuongezeka katika Kaunti ya Nyeri na eneo la Mlima Kenya, serikali kupitia Wizara ya Jinsia, Serikali ya Kaunti ya Nyeri pamoja na washikadau kutoka sekta zingine yaandaa mkutano unaolenga kutafuta suluhisho la kudumu kumaliza janga hilo.