Skip to main content
Skip to main content

Pombe hatari nchini

  • | Citizen TV
    1,231 views
    Duration: 2:18
    Huku swala la pombe gushi likizidi kugonga vichwa vya habari hapa nchini, muungano wa maafisa wa afya ya umma umeelekeza kidole cha lawama kwa serikali kuu kwa kutoa leseni za kuuza vileo kiholela.