Skip to main content
Skip to main content

Postmortem yabaini mwanafunzi wa KMTC alifariki kwa kukosa hewa

  • | Citizen TV
    3,413 views
    Duration: 2:30
    Imebainika kuwa mwanafunzi wa Kenya Medical Training College, Anne Adhiambo, aliyepatikana amefariki chumbani mwake, alikufa kutokana na kukosa hewa na kushindwa kupumua. Anne alipatikana amefariki katika mazingira tata siku chache kabla ya kufanya mtihani wake wa mwisho wa udaktari. Uchunguzi kuhusu mazingira yaliyosababisha kifo chake unaendelea.