Skip to main content
Skip to main content

Profesa Kivutha Kibwana awahimiza vijana kugombea nafasi za uongozi

  • | Citizen TV
    268 views
    Duration: 1:00
    Aliyekuwa Gavana wa Kaunti ya Makueni Kivutha Kibwana amewashauri vijana kuwania nyadhifa za uongozi, akisisitiza umuhimu wa ushiriki wao katika uongozi na maamuzi ya kitaifa na kaunti.